“Kumfuata Yesu Pamoja,” Rafiki, Jan. 2024, 20–21.
Kumfuata Yesu Pamoja
Adelyn B., umri miaka 8, Okinawa Pretecture, Japan
Georgia B., umri miaka 8, Kansas, Marekani
Unique S umri miaka 10, Region, Ufilipino
Ellery S., umri miaka 11, Texas, Marekani
Clayton, Camilla, Camden, na Clara U, umri miaka 4,10, 8, na 6, Dakota ya Kusini, Marekani.
Penda, Shiriki, Alika,”Will P, umri miaka miaka10, Idaho, Marekani
Ninacheza na kaka zangu wadogo na kuwasaidia kuvaa nguo wakati mama yangu anajitayarisha kwa ajili ya kanisani. Ninahisi upendo wa Bwana kwa ajili yangu ninaposaidia familia yangu.
Epencer F, umri miaka 8, Carolina, ya kusini Marekani
Ninafagia sakafu na kuipanga meza kabla ya milo kumsaidia mama yangu. Ninawasaidia wanafunzi wenzangu kwa kazi za nyumbani na kuwasaidia walimu wangu kuhamisha vitabu shuleni.
Kayser I, umri miaka 7, Macau China
Nilikuwa na wasiwasi kwenda kwenye Darasa la Watoto baada ya familia yangu kuhamia nchi mpya. Nilisali ili niweze kuhisi kukaribishwa. Tulijifunza wakati wa mafunzo ya kifamilia jinsi Yesu alivyopenda na kumtumikia kila mtu. Kidogo kidogo, ninachagua kuwa zaidi kama Yesu na nina shukrani kwa marafiki zangu wapya wa Darasa la Watoto.
Jenika K., umri miaka 10, Mashonaland, Zimbabwe
Mama yangu aliweka nyimbo za kanisani kwa ajili yangu kusikiliza tu. Zilinifanya nijihisi vizuri na nilijihisi kama Yesu alikuwa karibu yangu.
Laura O, umri , miaka 6, Santa Catarina, Brazili