Rafiki
Ishara za Kuja Kwa Kristo
Septemba 2024


“Ishara za Kuja Kwa Kristo,” Rafiki, Septemba. 2024, 24–25.

Jifunze kuhusu Kitabu cha Mormoni

Ishara za Kuja Kwa Kristo

Nabii Samweli alifundisha kuhusu ujio wa Yesu Kristo

Samweli nabii

Alifundisha kwamba wakati Yesu atakapokuja, kutakuwa na nyota mpya angani. Kutakuwa na mchana, usiku, na mchana usiokuwa na giza!

Nyota mpya

Aliwafundisha watu kuangalia kwa ajili ya ishara hizi ili waweze kutubu. Aliwataka kuwa tayari kwa ajili ya ujio wa Mwokozi.

Yesu Kristo pamoja na watoto

Wakati Mwokozi atakapokuja tena, tunataka kuwa tayari pia!

Changamoto ya Maandiko

  • Ni wapi Nefi alisali kwa ajili ya watu? (Helamani 7:10)

  • Wamebarikiwa wale wanaofanya nini? (Helamani 12:23)

  • Bwana aliahidi kuwakusanya watu Wake kama vile mnyama gani anavyokusanya vifaranga vyake? (3 Nefi 10:4)

Ninaweza Kusoma Kitabu cha Mormoni!

kupaka rangi picha

Baada ya kusoma, paka rangi sehemu ya picha. Unaweza kusoma maandiko haya yanayoenda sambamba na usomaji wa kila wiki kutoka Njoo, Unifuate.

PDF

Vielelezo na Bryan Beach