Rafiki
Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa mwaminifu
Septemba 2024


“Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa Mwaminifu,” Rafiki, Septemba 2024, 44–45.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa Kuwa mwaminifu

Msichana na mikono juu ya moyo wake

Yesu anatutaka tuwe waaminifu.

Watoto wakikaa sakafuni na wakiinua mikono yao.

Ninaweza Kumfuata Yesu kwa kufuata sheria.

Msichana akichukua mwanasesere wa dubu kutoka maonyesho ya duka.

Sitachukua vitu ambavyo sio vyangu.

Mvulana na glavu ya besiboli amesimama karibu na dirisha lililovunjika, akionesha besiboli juu ya ardhi wakati akizungumza kwa baba yake.

Ninaweza kusema ukweli.

Wakati wa Shughuli

Marafiki hawa wanacheza mchezo. Je, unaweza kutafuta mioyo iliyofichwa?

PDF

Vielelezo na Garth Bruner