Septemba 2024 Marafiki WapendwaSoma ujumbe kuhusu toba. Marafiki kwa BaruaSoma baadhi ya barua kutoka kwa rafiki zetu kote ulimwenguni! Dallin H. OaksToba ni ShangweRais Oaks anashiriki ujumbe juu ya toba. Kimberly OidroydMaafa ya DatsiDaniel kwa bahati mbaya anaharibu gari la shangazi yake, anajifunza kwamba ni heri kuwa mwaminifu. Kumfuata Yesu huko ZimbabweKutana na Sariah kutoka Zimbabwe na ujifunze jinsi anavyomfuata Yesu. Salamu kutoka ZimbabweFanya safari ili ujifunze kuhusu Zimbabwe! Rebekah JakemanSiku ya Isiyo ya Furaha ya PatrikPatrik amekatishwa tamaa kwamba kaka zake wana shughuli nyingi, lakini anasali ili kupoa moyo. Samweli Juu ya UkutaSanaa ya ufundi rahisi ya kufundisha hadithi ya Samweli juu ya ukuta. Kama Ninasikiliza kwa Moyo WanguMuziki uliorahisishwa kwa ajili ya “Kama Nikisiliza kwa Moyo Wangu” Abby LirkinsPenseli Zilizopotea na KupatikanaRafaela anachukua baadhi ya penseli zilizopotea ambazo amezipata shuleni na kisha anaamua kuziweka kwenye zilizopotea na zilizopatikana. Gary E. StevensonNi kwa jinsi gani ninaweza Kuwa Bora?Soma ujumbe kutoka kwa Mzee Stevenson kuhusu toba. Paka Rangi kwa Kufuata UmboShughuli ya kupaka rangi umbo la hekalu. Bradley Salmond IIIMradi wa SayansiMtoto anajifunza kuendelea kufanya hata wakati mambo hayaendi anavyotaka. Kumfuata Yesu PamojaMkusanyiko wa nukuu za watoto kutoka ulimwenguni kote. Ina Maana Gani Kukusanya Israeli?Kadi za kila mwezi kuhusu mahekalu ulimwenguni kote na kweli kuhusu mahekalu. Nyota MpyaShughuli ya picha iliyofichwa ya mandhari ya Kitabu cha Mormoni. Njoo, Unifuate Ishara za Kuja Kwa KristoNabii Samweli aliwafundisha watu kuhusu ishara za ujio wa Yesu Kristo duniani. Nefi Anasali kwa ajili ya WatuSoma hadithi kuhusu jinsi Nefi akisali juu ya mnara wa bustani. Shughuli za Njoo, UnifuateTumia shughuli hizi ili kujifunza Njoo, Unifuate pamoja na familia yako. Ashley StarkKushangilia kwa ajili ya Timu Zote MbiliJayne anajifunza kuwa na mtazamo mzuri anapocheza mchezo na familia yake Kevin W. PearsonWewe ni Nani HasaMzee Pearson anaelezea kuhusu jinsi kila mmoja wetu ni mtoto wa Mungu. Margo na PaoloMargo anaipata bangili ambayo mtu fulani aliidondosha na aliamua kuirudisha. Sehemu ya Watoto Wakubwa Sehemu ya Watoto WakubwaUtangulizi wa sehemu ya Watoto Wakubwa. Olivia KittermanSanduku la HofuOlivia anamwona daktari na anasoma maandiko kumsaidia na hofu yake. Mnyororo wa Kusoma MaandikoShughuli ya kuwasaidia watoto kutengeneza mnyororo wa kusoma maandiko wakati wanapohitaji faraja. Nini kipo Akilini Mwako?Soma kwa nini kile unachochagua kutazama au kusikiliza ni muhimu sana. Mazungumzo na Teancum kuhusu MaandikoTeancum kutoka Fiji anashiriki jinsi anavyojifunza kutoka kwenye maandiko. Peter E.Maua kwa ajili ya Jirani YanguPetro anaweka lengo la kupata pesa ili kununua maua kwa ajili ya jirani yake, mjane, siku ya Valentine. Sehemu ya Marafiki Wadogo Sehemu ya Marafiki WadogoKutana na baadhi ya marafiki wadogo kutoka ulimwenguni kote. Ninaweza kumfuata Yesu kwa Kuwa MwaminifuHadithi na shughuli kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu uaminifu. Mahekalu ni Nini?Hadithi fupi kwa ajili ya watoto wadogo kuhusu mahekalu. Yesu anatukusanya Kama Kuku akusanyavyo Vifaranga VyakeUkurasa wa kupaka rangi kuhusu jinsi Yesu Kristo anavyotulinda Hii huendana na masomo ya maandiko kwa ajili ya wiki ya Septemba 23–29 kwa ajili ya Njoo, Unifuate. Yesu akiwaponya WanefiSanaa nzuri ya Mwokozi akiwaponya Wanefi. Wapendwa WazaziSoma ujumbe kwa ajili ya wazazi kuhusu watoto wanaohangaika na hofu.