“Yesu Aliwabariki Mmoja Mmoja,” Rafiki, Oktoba 2024, 26–27.
Ujumbe wa Kila Mwezi wa Rafiki, Oktoba 2024
Yesu Aliwabariki Mmoja Mmoja
Manabii waliwafundisha Wanefi kuhusu ishara za kifo cha Yesu Kristo. Alipokufa, kulikuwa na giza katika nchi kwa siku tatu. Baadaye, watu walisikia sauti ya Baba wa Mbinguni ikizungumza kutoka mbinguni.
Baba wa Mbinguni alisema, “Tazama Mwana wangu Mpendwa” (3 Nefi 11:7). Yesu aliwatokea Wanefi Yeye alifufuka! Aliwafundisha Wanefi mambo mengi. Aliwaambia watubu na wamfuate Yeye.
Aliwataka watu wawaleta Kwake wale waliokuwa wagonjwa ili waponywe. Aliwabariki.
Pia aliwabariki watoto wote mmoja mmoja. Malaika waliwazunguka wale watoto.
© 2024 na Intellectual Reserve, Inc. Haki zote zimehifadhiwa. Limepigwa chapa Marekani. Idhini ya Kiingereza: 6/19. Idhini ya kutafsiri: 6/19. Tafsiri ya Monthly Friend Message, October 2024 Swahili. 19291 743