Septemba 2024 Ujumbe kutoka kwa Mzee Dieter F. UchtdorfTembea katika Nuru ya MwokoziUnapokuja kwa Yesu Kristo na kutubu, nguvu Yake ya uponyaji na kuimarisha itakuongoza utoke gizani. Njoo, UnifuateNa David A. EdwardsKumbatia Siku ZakoHuna haja ya kutamani ungeishi siku zilizopita. Hizi ni siku zako na fursa yako. Watu wa Nefi Walikuwa Wanafunzi wa KristoBango kuhusu watu wa Nefi, ambao walitembelewa na Mwokozi. Na John G. BythewayNi nini “Mtazamo Wako”?A brief SEO description of the article. Na Kate HansenJinsi ya Kufanya Mkutano Mkuu Kuwa na Maana Zaidi KwakoVidokezo vitatu vya kuwasaidia vijana kujiandaa na kutumia mkutano mkuu. Na Madelyn DavisKuvunja Mzunguko wa PonografiaMsichana anashiriki uzoefu wake kupambana na ponografia na kuhisi nguvu ya Upatanisho wa Mwokozi. Njoo, UnifuateNa Eric B. MurdockJe, Wewe Utasikiliza?Manabii ni ndara sana kupendwa, lakini siku zote wanafundisha ukweli. Mwongozo wao unaweza kutulinda, kutubariki, na kutusaidia—kama tutauacha ufanye hivyo. UnganikaUnganikaWasifu na ushuhuda mfupi kutoka kwa James B., mvulana kutoka Ufilipino. Na Dada Tamara W. RuniaVidokezo 5 vya Afya Bora ya KihisiaHapa kuna njia tano ambazo unaweza kupata afya bora ya kihisia. Ugonjwa Wangu wa Kutotaka Kula dhidi ya. Utambulisho Wangu wa KweliAnnalise B. kutoka Georgia, Marekani, anashiriki hadithi kuhusu jinsi yeye alishinda ugonjwa wa kutotaka kula kwa msaada wa familia yake, baraka ya kipatriaki, na Mwokozi. Na Eric D. SniderKupata—na Kutoa—Msaada wa Afya ya AkiliLinapokuja suala la afya ya akili, kuna njia nyingi unazoweza kuomba usaidizi na kutoa usaidizi kwa wengine pia. Jessica Zoey StrongUnaogopa Toba?Jifunze kwa nini toba ni kitu usichopaswa kukiogopa. Sehemu ya BurudaniShughuli za burudani, ikijumuisha vitu vilivyofichwa na chemsha bongo. Maneno ambayo kwayo TunaishiNa Mzee Ulisses SoaresAkina Kaka na Akina Dada katika KristoMzee Soares anafundisha mambo ya msingi kuhusu jinsi gani tunaweza kuongezeka katika upendo na umoja. Juu YanguMashairi ya wimbo kutoka katika albamu ya Dhima ya Vijana kwa mwaka 2024. BangoTaka Kile Mwokozi AnachotakaBango la Mwokozi lenye nukuu kutoka kwa Rais Eyring. Yeye Anaweza KukuponyaBango lenye kuvutia kuhusu jinsi imani katika Yesu Kristo ni nguvu kuu katika maisha haya. Maswali na Majibu Maswali na Majibu“Je, kwa jinsi gani ninatarajiwa ‘kuacha nuru yangu ing’ae’ ikiwa mimi sichangamana sana?”“Je, kwa jinsi gani ninatarajiwa ‘kuacha nuru yangu ing’ae’ ikiwa mimi sichangamana sana?” Kwenye HojaJe, Kanisa linajali kuhusu siasa na serikali?Jibu kwa swali: Je, Kanisa linajali kuhusu siasa na serikali?