Kuwaidhinisha Maofisa wa Kanisa
Sasa nitawasilisha kwenu Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Urais Mkuu wa Vikundi Saidizi vya Kanisa kwa kura ya kuidhinisha.
Inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Russell Marion Nelson kama nabii, mwonaji, na mfunuzi na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Dallin Harris Oaks kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Pili katika Urais wa Kwanza.
Wale wanaounga mkono wanaweza kuonyesha ishara.
Wale wanaopinga, kama kuna yeyote, wanaweza kuonyesha.
Inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Dallin Harris Oaks kama Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na M. Russell Ballard kama Kaimu Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili.
Wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.
Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha.
Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili: M. Russell Ballard, Jeffrey R. Holland, Dieter F. Uchtdorf, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, Neil L. Andersen, Ronald A. Rasband, Gary E. Stevenson, Dale G. Renlund, Gerrit W. Gong, na Ulisses Soares.
Wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.
Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha.
Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe washauri katika Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji, na wafunuzi.
Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.
Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.
Inapendekezwa kwamba tuwapumzishe wafuatao kutoka katika huduma yao kama Sabini wa Maeneo: Wazee Victorino A. Babida, L. Todd Budge, Peter M. Johnson, John A. McCune, Mark L. Pace, James R. Rasband, na Benjamin M. Z. Tai.
Wale ambao wangependa kuungana nasi katika kutoa shukrani kwa ndugu hawa kwa huduma yao ya kujitolea wanaweza kufanya hivyo kwa kuinua mkono juu.
Inapendekezwa kwamba tuwapumzishe kwa moyo wa shukrani Kaka Tad R. Callister, Devin G. Durrant, and Brian K. Ashton kama Urais Mkuu wa Shule ya Jumapili.
Wale wote wanaopenda kuungana nasi katika kutoa shukrani kwa akina kaka hawa kwa huduma yao ya kusifika, tafadhali waonyeshe.
Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama Viongozi Wakuu wa Sabini: Rubén V. Alliaud, Jorge M. Alvarado, Hans T. Boom, L. Todd Budge, Ricardo P. Giménez, Peter M. Johnson, John A. McCune, James R. Rasband, Benjamin M. Z. Tai, na Alan R. Walker.
Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.
Wale wanaopinga, kwa ishara hiyo hiyo.
Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama Sabini wa Maeneo: Solomon I. Aliche, Guillermo A. Alvarez, Daren R. Barney, Julius F. Barrientos, James H. Bekker, Kevin G. Brown, Mark S. Bryce, A. Marcos Cabral, Dunstan G. B. T. Chadambuka, Alan C. K. Cheung, Christian C. Chigbundu, Paul N. Clayton, Karim Del Valle, Hiroyuki Domon, Mernard P. Donato, Mark D. Eddy, Zachary F. Evans, Henry J. Eyring, Sapele Fa’alogo Jr., David L. Frischknecht, John J. Gallego, Efraín R. García, Robert Gordon, Mark A. Gottfredson, Thomas Hänni, Michael J. Hess, Glenn M. Holmes, Richard S. Hutchins, Tito Ibañez, Akinori Ito, Jeremy R. Jaggi, Kelly R. Johnson, Christopher Hyunsu Kim, H. Moroni Klein, ’Inoke F. Kupu, Stephen Chee Kong Lai, Victor D. Lattaro, Tarmo Lepp, Itzcoatl Lozano, Kevin J. Lythgoe, Edgar P. Montes, S. Ephraim Msane, Luiz C. D. Queiroz, Ifanomezana Rasolondraibe, Eduardo Resek, Tomás G. Román, Ramon E. Sarmiento, Jonathan S. Schmitt, Vai Sikahema, Denelson Silva, Luis Spina, Carlos G. Süffert, Voi R. Taeoalii, Sergio R. Vargas, na Markus Zarse.
Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.
Wanaopinga, kama kuna yoyote.
Inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Mark L. Pace kutumikia kama Rais Mkuu wa Shule ya Jumapili, pamoja na Milton da Rocha Camargo kama Mshauri wa Kwanza na Jan Eric Newman kama Mshauri wa pili.
Wale wanaounga mkono wanaweza kuonyesha ishara.
Yoyote anayepinga anaweza kuonyesha.
Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe Viongozi wengine Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Urais mkuu wa vikundi saidizi kama ilivyo sasa.
Wote wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.
Wanaopinga, kama kuna yeyote.
Rais Nelson, upigaji kura umekamilika. Tunawaalika wale wote ambao inawezekana wamepinga mapendekezo yoyote kati ya haya kuwasiliana na marais wao wa vigingi.
Akina kaka na akina dada, tunawashukuru kwa imani yenu endelevu na sala kwa niaba ya viongozi wa Kanisa.
Sasa tunawaalika Viongozi Wakuu wapya wa Sabini na Urais Mkuu mpya wa Shule ya Jumapili kuchukua nafasi zao jukwaani.