“Kristo Anawabariki Wanefi,” Liahona, Septemba 2024. Sanaa ya Kitabu cha Mormoni Kristo Anawabariki Wanefi “Mnao wowote ambao ni wagonjwa miongoni mwenu? … Waleteni hapa na nitawaponya. … “Na ikawa kwamba wakati alipokuwa amesema hivyo, umati wote … ulisonga mbele na wagonjwa wao na wote waliosumbuka, na vilema wao, na vipofu wao, na bubu wao, na wote walio sumbuka kwa jinsi yoyote; na akawaponya.” 3 Nefi 17:7, 9 Kristo Anawabariki Wanefi kwenye Hekalu la Neema, na Minerva Teichert