Septemba 2024 Karibu kwenye Toleo HiliKristin M. YeeKupata Faraja katika Yesu KristoMafundisho kutoka kwa Dada Yee na Mzee Uchtdorf juu ya baraka ambazo Mwokozi anatupatia. Makala Zilizoangaziwa Jeffrey R. HollandGamenti ya Ukuhani Mtakatifu.Rais Holland anafundisha kwamba gamenti iliyopokelewa kama sehemu ya endaumenti ya hekaluni hutumika kama ukumbusho wa maagano yetu na kama ishara ya Mwokozi na kwamba inapaswa kuvaliwa mchana na usiku. Dallin H. OaksRussell M. Nelson: Nabii kwa ajili ya Siku YetuRais Oaks anasifia huduma na mafundisho ya Rais Russell M. Nelson. Miongo ya Huduma ya Kujitolea kwa dhati: Mafundisho Yaliyochaguliwa kutoka kwa Rais Russell M. NelsonMambo muhimu kutoka katika mafundisho ya nabii tangu awe Rais wa Kanisa. Tunashuhudia juu ya Nabii Wetu Aliye HaiManeno ya shukrani kutoka kwa waumini kote ulimwengu kwa Rais Russell M. Nelson. Isaac K. MorrisonNabii Hutuongoza kwa Yesu KristoMzee Morrison anafundisha kwamba manabii ni vyombo katika mikono ya Mungu vya kutuongoza kwa Mwokozi na kwenye baraka za milele. Kristin M. YeeKupata Faraja katika Uhusiano Wetu wa Agano na MunguDada Yee anafundisha kwamba kupitia Yesu Kristo, tunaweza kupata Faraja kutokana na kupitia changamoto za maisha peke yetu. Julianne Holt-LunstadSi Mpweke Tena: Njia Saba za KuunganikaMawazo saba ya kukabiliana na upweke katika maisha yetu. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Tom YellowmanMazuri Ambayo Injili ImenileteaMchunguzi aliyesitasita anajiunga na Kanisa baada ya kumhisi Roho Mtakatifu kupitia waumini. Américo Chantre FernandesKitabu cha Mormoni Kimeniletea AmaniKijana anajiunga na Kanisa baada ya kupata ushuhuda juu ya Kitabu cha Mormoni. Ronald BaaMungu Alikuwa na Kitu Bora kwa ajili YetuBaada ya uongofu wake, kijana anagundua uwezekano wake wa kiungu wa kukua, kujifunza, na kuwa. Lisa Nielsen YoungRoho Alileta TofautiMpiga kinada wa kata anazidiwa na huzuni anahisi upendo kutoka kwa washiriki wa kata wakati alipokuwa hawezi kumaliza kupiga wimbo wa kufunga. Stephan SeableTaswira ya Kiroho ya UumbajiMsanii wa uchongaji sanamu anashiriki jinsi kazi yake ya sanaa inavyomruhusu kuonyesha uzuri wa injili na ulimwengu. Njoo, Unifuate Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kuimarisha Ushuhuda Wangu juu ya Nabii?Mkutano mkuu unaweza kunisaidia kuimarisha ushuhuda wangu juu ya nabii aliye hai. Ni kwa Jinsi Gani Ninaweza Kujiandaa Kumpokea Mwokozi?Wanefi walimpokea Mwokozi kimwili katika uwepo wao. Tunaweza kujifunza nini kutokana na mfano wao ili kutusaidia sisi tumpokee Mwokozi kiroho? Sanaa ya Kitabu cha MormoniKristo Anawabariki WanefiSanaa ya kuvutia inayoonesha mandhari yanayohusiana na maandiko. Vijana Wakubwa Maren KennedyJinsi Gani Changamoto Zilinisaidia Nijenge Upya Msingi Wangu wa ImaniKijana mkubwa anaeleza jinsi alivyopata uponyaji baada ya kusumbuka na msongo wa mawazo, saratani, na ubaridi wa kiroho. Emma HebertsonNjia 3 za Kuvumilia Maisha na KuyafurahiaKijana mkubwa anashiriki nukuu kutoka kwa viongozi wa Kanisa kuhusu kuamsha tena shangwe ya kuishi. Mfululizo wa Matukio Kanisa Liko HapaReykjavík, IcelandMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa katika Islandi. Kwa ajili ya WazaziShukrani kwa ajili ya NabiiMapendekezo kwa ajili ya kutumia majarida ya Kanisa katika kujifunza injili kama familia. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Njia ya uanafunzi Muunganiko wa “Bonjour” kwenye Hekalu la Kinshasa Kichwa cha habari: Matangazo Mubashara ya Mkutano Mkuu kwa Mara ya Kwanza Ethiopia Kukusanyika kwa Watakatifu Nchini Rwanda Hadithi Yangu ya Uongofu na Ushuhuda Kujenga Kujitegemea: Mradi wa Moroni wa Kigingi cha Kinshasa Darasa la Kujitegemea na Uwekezaji wa Kanisa Kuonyesha Matokeo ya Haraka Muhtasari wa Kitabu cha Jumla Wito Wa Makala Nyenzo Maalumu za Kanisa za Mtandaoni