Kuhusu Magazeti ya Kanisa
Chaguzi za Kidijitali
Chaguzi za Kidigitali


“Chaguzi za Kidijitali,” Jan. 2021.

Chaguzi za Kidijitali

Picha
Tableti

Hapa ndipo unapoweza kupata magazeti ya Kanisa kidigitali:

Watu Wazima na Vijana Wakubwa: Liahona mpya itakuwa na maudhui ya kidijitali pekee kama ziada ya matoleo ya magazeti na mtandaoni. Vijana wanaweza kupata maudhui hasa kwa ajili yao katika machapisho ya Liahona na Vijana Wakubwa (VW) Kila Wiki ambayo yanaweza kupatikana katika ChurchofJesusChrist.org au katika programu ya Maktaba ya Injili.

Vijana: Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana mpya itakuwa na maudhui ya kidijitali pekee kwa vijana wa Kanisa. Hii inaweza kupatikana katika ChurchofJesusChrist.org au katika programu ya Maktaba ya Injili. Maudhui zaidi ya vijana yanaweza kupatikana katika programu ya Gospel Living.

Watoto: Rafiki mpya itakuwa na maudhui ya kidijitali pekee kwa watoto wa Kanisa. Hii inaweza kupatikana katika ChurchofJesusChrist.org au katika programu ya Maktaba ya Injili.

Chapisha