Kujifunza Kiingereza
Somo la 5: Mambo Mtu Ayapendayo


“Somo la 5: Mambo Mtu Ayapendayo,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 5,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi

wavulana wakitembea

Lesson 5

Hobbies and Interests

Shabaha: Nitajfunza kuzungumza kuhusu kwa nini mtu anapenda au hapendi kitu fulani.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi D.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Learn by Study and by Faith

Jifunze Kwa Kusoma na Kwa Imani

In EnglishConnect, we rely on God to learn by study and by faith.

Katika EnglishConnect, tunamtegemea Mungu ili kujifunza kwa kusoma na kwa imani.

Mnamo mwaka wa 1832, Joseph Smith na baadhi ya viongozi wa mwanzo wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho walikuwa wameelekezwa kuanzisha shule. Mungu aliwataka wao kujifunza, kukua na kujiandaa kuwaongoza wengine. Hili kundi la waumini hawakuwa na shahada kutoka vyuo vikuu au hata elimu kubwa. Hawakuwa na fedha nyingi au rasilimali. Katika maandiko, Mungu aliwafundisha wao mpangilio wa kujifunza:

“Na kwa vile wote hamna imani, tafuteni kwa bidii na kufundishana maneno ya hekima; ndiyo, tafuteni kutoka kwenye vitabu vizuri maneno ya hekima; tafuteni maarifa, hata kwa kujifunza na pia kwa imani” (Mafundisho na Maagano 88:118).

Mungu hufundisha kwamba tunahitaji kujifunza kwa kusoma, na pia tunahitaji kujifunza kwa imani. Tunafanya bidii yetu yote, na tunamuomba Mungu amtume Roho Wake ili afungue akili zetu na mioyo yetu ili tujifunze. Roho hutupa uelewa zaidi kuliko inavyowezekana peke yetu wenyewe. Kuwa na mwalimu bora au vitabu bora inaweza kusaidia, lakini Mungu anaweza kutufundisha hata kama hatuna vitu hivyo. Tunapojifunza kwa kusoma na kwa imani, Mungu anaweza kutusaidia kujifunza zaidi tunavyoweza kuliko tudhaniavyo.

mtu akitafakari

Ponder

  • Je, tunaweza kufanya nini ili tutafute kujifunza “kwa kusoma na kwa imani.”?

  • Fikiria kuhusu uzoefu wako katika EnglishConnect. Ni kwa jinsi gani Mungu amekusaidia wewe kujifunza?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno mapya katika mazungumzo au katika ujumbe unaotuma kwa mtu ambaye anajua Kiingereza.

because

kwa sababu

Verbs

exercise

zoezi

learn English

Jifunze Kiingereza

play sports

cheza michezo

Ona somo la 4 kwa ajili ya verbszaidi.

Adjectives

boring

choshwa

cheap

bei rahisi

dangerous

hatari

difficult

ngumu

easy

rahisi

exciting

ya kuchangamsha

expensive

ghali

fun

burudani

important

muhimu

interesting

enye kupendeza

relaxing

enye kuliwaza

tiring

enye kuchosha

useful

enye kufaa

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka uweze kwa kujiamini kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kusema mipangilio kwa sauti. Fikiria kujirekodi mwenyewe. Zingatia matamshi yako na ufasaha wako.

Q: What do you like to do?A: I like to (verb).

Q: Why do you like to (verb)?A: I like to (verb) because it’s (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 1 kwa nini unapenda kitenzi

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi napenda kitenzi kwa sababu ni kivumishi

Examples

mwanaume akiimba kwenye studio ya kurekodi

Q: Why do you like to sing?A: I like to sing because it’s fun.

Q: Why doesn’t she like to cook?A: She doesn’t like to cook because it’s difficult.

Q: Why does she like to paint?A: Because it’s relaxing.

ikoni d
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 1.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi” . Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Learn by Study and by Faith

(20–30 minutes)

mwanaume akijifunza

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tumia chati. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.

Example: Alex

Likes

Why

Likes

swim

Why

easy

Likes

watch movies

Why

interesting

Dislikes

Why

Dislikes

dance

Why

difficult

Dislikes

read

Why

boring

  • A: What does Alex like to do?

  • B: He likes to swim.

  • A: Why does he like to swim?

  • B: He likes to swim because it’s easy.

  • A: What doesn’t Alex like to do?

  • B: He doesn’t like to dance.

  • A: Why doesn’t he like to dance?

  • B: He doesn’t like to dance because it’s difficult.

Chart 1: Katya

Likes

Why

Likes

paint

Why

important

Likes

garden

Why

relaxing

Dislikes

Why

Dislikes

run

Why

tiring

Dislikes

cook

Why

difficult

Chart 2: Dani

Likes

Why

Likes

dance

Why

fun

Likes

play sports

Why

cheap

Dislikes

Why

Dislikes

watch TV

Why

boring

Dislikes

travel

Why

expensive

Chart 3: Suri

Likes

Why

Likes

watch sports

Why

exciting

Likes

play sports

Why

difficult

Dislikes

Why

Dislikes

dance

Why

tiring

Dislikes

run

Why

difficult

Chart 4: Your Name

Likes

Why

Likes

Likes

Dislikes

Why

Dislikes

Dislikes

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu. Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.

Example

mwanaume na mwanamke wakikimbia
  • A: Do you like to run?

  • B: Yes.

  • A: Why do you like to run?

  • B: I like to run because it’s exciting.

Image 1

mtu akiwa na sanduku

Image 2

wanawake wawili wakicheza dansi nyumbani

Image 3

vijana wakicheza mpira wa wavu

Image 4

mwanaume akisikiliza kitu kwa kutumia kifaa cha sauti cha masikioni

Image 5

mwanaume akipika

Image 6

watu wamekaa katika ukumbi wa sanaa

Image 7

wanawake wawili wakifanya manunuzi

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Say why I like something.

    Sema kwa nini mimi napenda kitu fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Say why I don’t like something.

    Sema kwa nini napenda kitu fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mipangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

kuweka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Kutafuta maarifa kwa kujifunza kwa kawaida huweka akili zetu kazini. Kutafuta kujifunza kwa imani huweka vyote viwili, mioyo yetu na akili zetu kazini. Ni katika mioyo yetu na akili zetu ambapo tutahisi madhihirisho ya Roho Mtakatifu” (Camille N. Johnson, “Seek Learning by Study and by Faith,” BYU-Pathway Worldwide Devotional, October 2021).