“Somo la 22: Jumuiya,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Somo la 22,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Lesson 22
Community
Shabaha: Nitajifunza kuuliza na kutoa maelekezo ya uelekeo.
Personal Study
Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.
Study the Principle of Learning: You Are a Child of God
Wewe ni mtoto wa Mungu
I am a child of God with eternal potential and purpose.
Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezekano wa kuwa na kusudi la milele.
Fikiria umejifunza kitu gani kuhusu utambulisho wako kama mtoto wa Mungu. Fikiria kuhusu uhusiano wako na Yeye. Fikiria ni kitu gani Yeye amekufundisha kuhusu dhumuni lako na uwezekano wako wa kuwa. Tafakari juu ya uzoefu ambao umekuwa nao katika kujifunza Kiingereza. Ni kwa jinsi gani umehisi Yeye akikusaidia kufanya mambo ambayo ulifikiria hayawezekani?
Uzoefu wako wa kushirikiana na Mungu katika kujifunza umekuandaa kuwasaidia wangine.
Yesu alitufundisha sisi: “Ninawapa ninyi muwe nuru ya watu hawa. … Kwa hivyo acheni nuru yenu iangaze mbele ya hawa watu, ili wapate kuyaona matendo yenu, na kumtukuza Baba yenu aliye mbinguni” (3 Nefi 12:14, 16).
Unayo nuru nyingi sana ya kuishiriki. Unaweza kuwa mfano wa jinsi Mungu anavyoweza kuwasaidia watoto Wake kujifunza na kuendelea. Unaweza kushiriki jinsi Mungu alivyokusaidia kujifunza Kiingereza. Unaweza kuwasaidia wengine kujifunza kushirikiana na Mungu kufikia uwezekano wao wa kuwa. Unaweza kushiriki nao jinsi wewe ulivyokuja kuamini kauli hii “Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezaekano na kusudi la milele.”
Ponder
-
Ni kwa jinsi gani wewe unaweza kuwa nuru kwa watu walio karibu nawe?
-
Ni kwa jinsi gani unaweza kuendelea kukuza uhusiano wako na Baba yako wa Mbinguni unapojifunza na kukua?
Memorize Vocabulary
Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno mapya katika mazungumzo au katika ujumbe unaotuma kwa mtu ambaye anajua Kiingereza.
go |
nenda |
turn |
geuka |
How do I get to … ? |
Ni kwa jinsi gani ninaweza kufika … ? |
Nouns
bank |
benki |
grocery store |
duka la vyakula |
restaurant |
mgahawa |
store |
dukani |
train station |
kituo cha treni |
First Street/1st Street |
Mtaa waKwanza Mtaa wa/1 |
Green Lane |
Ukanda waKijani |
Adverbs
north |
kaskazini |
south |
kusini |
east |
mashariki |
west |
magharibi |
left |
kushoto |
right |
kulia |
straight |
moja kwa moja |
Prepositions
across from |
ng’ambo kutoka |
between |
kati ya |
in front of |
mbele ya |
next to |
karibu na |
Practice Pattern 1
Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”
Q: Where is the (noun)?A: It’s next to the (noun).
Examples
Q: Where is the grocery store?A: It’s next to the bank.
Q: Where is the grocery store?A: It’s between the restaurant and the bank.
Practice Pattern 2
Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kutumia mipangilio katika mazungumzo na rafiki. Ungeweza kuzungumza au kutuma jumbe.
Q: How do I get to the (noun)?A: Go (adverb) on First Street.
Examples
Q: How do I get to the store?A: Go north. Turn right on First Street.
Q: How do I get to the train station?A: Go straight. Turn left on Green Lane. Turn right on B Street.
Use the Patterns
Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.
Conversation Group
Activity 1: Practice the Patterns
(10–15 minutes)
Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.
Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:
-
Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.
-
Fanya mazoezi ya kujibu maswali
-
Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.
Rudia mpangilio wa 2
Activity 2: Create Your Own Sentences
(10–15 minutes)
Uliza na ujibu maswali kuhusu jiji au mji unaojua. Sema mengi kadiri uwezavyo. Chukueni zamu.
New Vocabulary
bakery |
duka la mikate |
bookstore |
duka la vitabu |
church |
kanisa |
library |
maktaba |
park |
bustani |
post office |
ofisi ya posta |
school |
shule |
Example
-
A: Where is the bank?
-
B: It’s next to the post office.
-
A: Where is the park?
-
B: It’s across from my house.
Activity 3: Create Your Own Conversations
(15–20 minutes)
Fanya Igizo. Tazama ramani. Mwenza A anachagua eneo la kuanzia na la kuishia. Mwenza B anatoa maelekezo. Badilishaneni nafasi.
Example
-
A: I’m at the grocery store. How do I get to the bank?
-
B: Go south on Main Street. Turn left on C Street. Then turn right on 1st Street. The bank is across from the train station.