“Kiambatisho: Virai vya Kikundi cha Mazungumzo,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Virai vya Kikundi cha Mazungumzo,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Appendix
Conversation Group Phrases
Virai vya Kikundi cha Mazungumzo
Conversation Phrases
Virai vya Mazungumzo
Tumia virai hivi kuanza, kuendelea na kumaliza mazungumzo.
Anza
Hello. |
Habari. |
Good morning. |
Habari za asubuhi. |
Good afternoon. |
Habari za mchana. |
Hi. Can I ask you a question? |
Mambo! Naweza kukuuliza swali? |
Endelea
That’s great! |
Vizuri sana! |
Interesting. |
inapendeza |
Tell me more. |
Niambie zaidi. |
Really? |
Kweli? |
Me too! |
Mimi pia! |
Wow! |
Lo! |
I didn’t know that. |
Sikujua hilo. |
Thanks for sharing. |
Asante kwa kushiriki. |
Mwisho
OK. Thanks. |
SAWA. Asante. |
See you later. |
Tutaonana baadaye. |
It was nice talking to you. Bye! |
Ilikuwa vizuri kuzungumza nawe. Kwaheri! |
Talk to you later. |
Nitazungumza nawe baadaye. |
Have a great day! |
Uwe na siku njema! |
Thank you. |
Asante. |
Example:
Q: Hi. Can I ask you a question? What do you like to do?A: I like to dance.
Q: Me too! What don’t you like to do?A: I don’t like to read.
Q: Really? Do you like to garden?A: Yes, I like to garden.
Q: OK. Thanks. It was nice talking to you. Bye!
Other Phrases
Virai Vingine
Wanafunzi na walimu wanaweza kuvitumia virai hivi ili kuwasaidia kuwasiliana kwa Kiingereza wakati wote wa somo.
Virai vya Kawaida vya Mazungumzo Changamani
Wanafunzi na walimu wanaweza kutumia virai hivi wanapowasiliana kwa Kiingereza.
Can you repeat that, please? |
Je, unaweza kurudia hicho, tafadhali? |
Can you speak slower, please? |
Je, unaweza kuongea pole pole, tafadhali? |
Can you write that on the board, please? |
Je, unaweza kuandika hicho ubaoni, tafadhali? |
How do you say in English? |
Je, unasemaje kwa Kiingereza? |
How do you spell ? |
Ni zipi herufi za neno ? |
Good job! |
“Kazi nzuri! |
I don’t understand. |
Sielewi. |
I have a question. |
Nina swali. |
I understand! |
Naelewa! |
You can do it! |
Unaweza kufanya hivyo! |
Virai vya Maelekezo ya Kawaida
Kumsikia mwalimu akiongea kwa Kiingereza kutawasaidia wanafunzi kuendelea. Walimu wanaweza kutumia virai hivi rahisi kutoa maelekezo kwa kikundi.
Welcome! |
Karibu! |
Today is lesson 4. |
Leo ni somo la 4. |
Begin. |
Anza |
Do it again. |
Fanya tena. |
Look at pattern 2. |
Tazama mpangilio wa 2. |
One more time. |
Mara moja zaidi. |
Practice again. |
Fanya mazoezi tena. |
Practice with your partner. |
Fanya mazoezi na mwenzako. |
Read aloud. |
Soma kwa sauti. |
Read the instructions. |
Soma maelekezo. |
Repeat after me. |
Rudia baada yangu. |
Role-play. |
Fanya Igizo. |
Stand up. |
Simama. |
Sit down. |
Keti chini. |
Stop. |
Acha. |
Switch partners. |
Badilishaneni wenza. |
Take turns. |
Chukueni zamu. |
You have 10 minutes. |
Una dakika 10. |
Any questions? |
Swali lolote? |
Are you ready? |
Je, uko tayari?” |
Remember to study. |
Kumbuka kujifunza. |
See you next week! |
Tutaonana wiki ijayo! |