“Kiambatisho: Kusali kwa Kiingereza,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)
“Kusali kwa Kiingereza,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi
Appendix
Praying in English
Kusali kwa Kiingereza
Anza kila mkutano wa kikundi kwa sala katika Kiingereza. Kusali humwalika Roho ili akusaidie mnapojifunza Kiingereza kwa pamoja. Ili kujifunza zaidi kuhusu sala, ona “Prayer” katika “Principle of Learning Glossary” na “How to Pray” kwenye ChurchofJesusChrist.org/ComeuntoChrist/believe/god/how-to-pray.
Unaweza kutumia msamiati na mipangilio ifuatayo ili kuanza kusali kwa Kiingereza.
Memorize Vocabulary
Dear Heavenly Father |
Dear Heavenly Father |
In the name of Jesus Christ, amen. |
In the name of Jesus Christ, amen. |
Nouns
blessings |
baraka |
teacher |
mwalimu |
group |
kikundi |
family/families |
familia |
Verbs
learn |
jifunze |
speak |
ongea |
teach |
fundisha |
bless |
bariki |
press forward |
songa mbele |
Practice Pattern 1
We thank Thee for our (noun).
Examples
We thank Thee for our group.
I thank Thee for my family.
Practice Pattern 2
We ask Thee to help us (verb).
Examples
We ask thee to help us learn.
I ask Thee to help me speak English.