-
Yesu Kristo
Kutoka 3:14; M&M 38:1; Yohana 14:6; Mosia 3:17; Helamani 5:12; 3 Nefi. 9:14–18; Mormoni 9:11; M&M 76:22–24, 40–42
-
Bwana Aliumba Vitu Vyote
Musa 1:31–33, 397:30; Mosia 4:9
-
Dunia
Mwanzo; Musa; M&M 59:16–21; Ona pia maandiko kwa picha nambari 2
-
Adamu na Hawa Wakipiga magoti kwenye Madhabahu
2 Nefi 2:17–25; Musa 5:4–11
-
Adamu na Hawa Wakifundisha Watoto Wao
Musa 5:12; M&M 68:25, 28
-
Mji wa Sayuni Unachukuliwa Juu
Mwanzo 5:24; Waebrania 11:5; Musa 7:18–19, 69
-
Kujenga Safina
Mwanzo 6–7; Musa 8
-
Nuhu na Safina pamoja na Wanyama
Gen. 6:12–227:2–23;8
-
Ibrahimu Anampeleka Isaka Kutolewa Sadaka
Mwanzo 21:1–8;22:1–18; Yakobo 4:5
-
Rebekah Kisimani
Mwanzo 24
-
Yusufu Anamkataa Mke wa Potifa
Mwanzo 39; M&M 42:22–24
-
Yakobo Akibariki Wanawe
Mwanzo 49
-
Musa na Kichaka Kinachoteketea
Kutoka 3:1–4:17; Matendo ya Mitume 7:30–33
-
Amri Kumi
Kutoka 19–20
-
Musa Anampatia Haruni Ukuhani
Kutoka 28:1–29:9; 40:12–15; Waebrania 5:4
-
Musa na Nyoka wa Shaba
Hesabu 21:4–9; Yohana 3:14; Alma 33:19–21
-
Ruthu Anabugabuga Uwanjani
Ruthu 1–4
-
Kijana Samueli Anaitwa na Bwana
1 Samweli 3
-
Daudi Anamuua Goliathi
1 Samweli 17
-
Eliya Anabishana dhidi ya Makuhani wa Baali
1 Wafalme. 18:17–39
-
Etheri
Etheri 3:8–15;4; 7
-
Isaya Anaandika kuhusu Kuzaliwa kwa Kristo
Isaya 7:14 ;9:6–7
-
Danieli Anakataa chakula na Mvinyo wa Mfalme
Danieli 1; M&M 89
-
Danieli Anatafsiri Ndoto ya Nebukadreza
Danieli 2
-
Watu watatu katika Tanuu Inayowaka
Danieli 3; Alma 36:3
-
Danieli katika Pango la Simba
Danieli 6
-
Yona
Yona 1–3