Maelekezo kwa ajili ya Mtaala
Maelekezo kwa ajili ya Mtaala wa Mwaka 2020


“Maelekezo kwa ajili ya Mtaala wa Mwaka 2020,” Maelekezo kwa ajili ya Mtaala wa Mwaka 2020 (2019)

“Maelekezo kwa ajili ya Mtaala wa Mwaka 2020,” Maelekezo kwa ajili ya Mtaala wa Mwaka 2020

Picha
familia ikisoma maandiko

Maelekezo kwa ajili ya Mtaala wa Mwaka 2020

Waraka huu unaorodhesha nyenzo za mtaala zitakazo tumika mwaka 2020. Nyenzo hizi zote zinaweza kupatikana katika Gospel Library app na kwenye ComeFollowMe.ChurchofJesusChrist.org. Si nyezo zote zinapatikana katika lugha zote. Vitu vipya kwa ajili ya mwaka 2020 vimezingatiwa.

Watu Binafsi na Familia

NYENZO MPYA YA Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Watu Binafsi na Familia: Kitabu cha Mormoni 2020 (15155; Matawi/kata zitatumiwa nakala bure)

Msingi

Darasa la Chekechea (Umri wa Miezi 18–Miaka 2)

Tazama Watoto Wenu: Kitabu cha Kiada cha Chekechea (37108)

Wakati wa Kuimba na madarasa yote ya Msingi (Miaka 3–11)

NYENZO MPYA YA Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Msingi: Kitabu cha Mormoni 2020 (15157)

Shule ya Jumapili

Shule ya Jumapili kwa Watu Wazima na Vijana

NYENZO MPYA YA Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Shule ya Jumapili: Kitabu cha Mormoni 2020 (15156)

Akidi ya Wazee na Muungano wa Usaidizi wa Akina Mama

Kujifunza kutoka katika jumbe za Mkutano Mkuu” (toleo la chapa linalopatikana katika chapisho la Ensign au Liahona)

Ukuhani wa Haruni na Wasichana

Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Ukuhani wa Haruni

Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Wasichana

Kama nyenzo hizi kwa ajili ya Wasichana na Ukuhani wa Haruni hazipatikani katika lugha yako, tumia masomo katika sura ya 3 ya Hubiri Injili Yangu (16229). Pia ungeweza kufundisha kutoka katika jumbe za mkutano ambazo zinakidhi mahitaji ya vijana wako.

Jumuiya Zote

Mkutano wa Baraza la Walimu

Kufundisha katika Njia ya Mwokozi

Kozi zingine (ikiwa vitabu vya kiada vinapatikana)

Kozi kwa ajili ya kuimarisha ndoa na familia, matayarisho ya kwenda hekaluni, matayarisho ya umisionari, na historia ya familia hazitafanyika wakati wa saa la pili la Kanisa. Hata hivyo, kwa busara ya askofu na kutegemeana na mahitaji, kozi hizi zinaweza kufundishwa wakati mwingine kwa ajili ya watu binafsi, familia, au makundi.

Maandalizi ya kwenda Hekaluni

Endaumenti Kutoka Juu: Matayarisho ya kwenda Hekaluni Kitabu cha Kiada cha Semina cha Mwalimu (36854) na Kujitayarisha Kuingia Katika Hekalu Takatifu (36793)

Mahusiano ya Ndoa na Familia

Mahusiano ya Ndoa na Familia Kitabu cha Kiada cha Mwalimu (35865) na Mwongozo wa Mshiriki Mahusiano ya Ndoa na Familia (36357)

Chapisha