2021
Kanisa Ulimwenguni Kote
Desemba 2021


“Kanisa Ulimwenguni kote,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Apr. 2022.

Ujumbe wa kila mwezi wa Rafiki, Desemba 2021

Kanisa Ulimwenguni Kote

Picha
watoto waanzilishi

Vielelezo na Apryl Stott

Bwana aliwaambia waumini wa Kanisa waondoke na kwenda mbali. Baadhi waliendesha mikokoteni iliyokokotwa na farasi. Baadhi walivuta mikokoteni kwa mikono.

Picha
watoto wakisaidia ujenzi kwenye Hekalu la Salt Lake

Walikwenda kuishi eneo jipya. Walijenga nyumba na miji. Walijenga mahekalu mapya.

Picha
wamishonari wa mapema wakibatiza mtoni

Wamisionari walikwenda kwenye nchi nyingi. Waliwafundisha wengine kuhusu Yesu Kristo. Watu zaidi walibatizwa. Kanisa lilikua.

Picha
Ulimwengu
Picha
Sanamu malaika Moroni

Leo, waumini wa Kanisa wanaishi ulimwenguni kote. Kuna mahekalu katika nchi nyingi.

Picha
watoto

Bila kujali tunakoishi, Yesu anatupenda. Ninajua Yeye anipenda!

Ukurasa wa Kupaka Rangi

Yesu Anatupenda Sisi Sote

Picha
Yesu Kristo pamoja na watoto

Bonyeza kwenye picha ili kupakua.

Kielelezo na Apryl Stott

Unahisi vipi kuhusu upendo wa Yesu?

Chapisha