2017
Mafundisho ya Wakati Wetu
November 2017


Mafundisho ya Wakati Wetu

Kuanzia Oktoba 2017 hadi Aprili 2018, masomo ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama katika Jumapili ya nne yanafaa kuandaliwa toka kwenye hotuba moja ama zaidi katika zile zilizotolewa kwenye mkutano mkuu wa Oktoba 2017. Mwezi Oktoba 2018, hotuba zinaweza kuchukuliwa toka kwenye mkutano mkuu wa Aprili au Oktoba. Marais wa wilaya na vigingi watachagua ni hotuba gani zitatumika kwenye maeneo yao, au wanaweza kutoa majukumu kwa maaskofu au marais wa matawi.

Hotuba hizi zinapatikana katika lugha nyingi katika conference.lds.org.

Chapisha