Muziki wa Vijana
Mja Wake Kristo (Kwa ajili ya sauti na kinanda)


1

Mja Wake Kristo

Kwa ajili ya sauti na kinanda

1. Mwanga wa siku ufifiapo

Kwake nitainulia macho.

Naye ni Amani;

Hunituliza.

Mwake mikononi

Nastahilishwa.

[Chorus]

Ni mja wake Kristo;

Kamwe sitomuacha.

Ni uzima na kweli.

Naye huniwezesha.

Nitaangaza kwa watu

Wamjue, wawe huru.

Ni mja wake Kristo.

2. Njia zote nilizoona,

Kurejea kwake ndio njia.

Ndiye nguzo yangu,

Pumzi hakika.

Ni ushuhuda wangu

Tena na tena.

[Chorus]

Ni mja wake Kristo;

Kamwe sitomuacha.

Ni uzima na kweli.

Naye huniwezesha.

Nitaangaza kwa watu

Wamjue, wawe huru.

Ni mja wake Kristo.

[Chorus]

Mja wake Kristo.

Ni mja wake Kristo;

Na sitomua cha.

Ni uzima na kweli.

Naye huniwezesha.

Nitaangaza kwa watu

Wamjue, wawe huru.

Ni mja wake Kristo.

Mja wake Kristo.

Mja wake Kristo.

Maandishi na muziki wa Nik Day

© 2023 by Intellectual Reserve, Inc. All rights reserved. Wimbo huu ni kwa matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara au matumizi ya nyumbani. Notisi hii lazima ionekane kwenye kila nakala iliyotolewa.

Kwa ajili ya sauti na kinanda

Kwa ajili ya sauti na guitar

Kwa ajili ya sauti na ukulele