Kujifunza Kiingereza
Somo la 14: Kazi na Ajira


“Somo la 14: Kazi na Ajira,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 14,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi

wavulana wakitembea

Lesson 14

Jobs and Careers

Shabaha: Nitajifunza kuzungumza kuhusu kazi ya mtu na wapi wanafanya kazi.

Personal Study

Jiandae kwa ajili kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: You Are a Child of God

Wewe ni mtoto wa Mungu

I am a child of God with eternal potential and purpose.

Mimi ni mtoto wa Mungu aliye na uwezekano wa kuwa na kusudi la milele.

Wewe ni binti au mwana wa Baba wa Mbingunimwenye upendo. Yeye atakuongoza. Kwa msaada wake, unaweza kufanya zaidi kuliko ambavyo ungeweza kufanya wewe mwenyewe. Katika Kitabu cha Mormoni, tunajifunza kuhusu mvulana aliyeitwa Nefi ambaye alikuja kuwa nabii-kiongozi wa watu wake. Mungu alitaka kumwongoza Nefi na watu wake hadi kwenye nchi mpya. Nchi hii ilikuwa ng’ambo ya bahari, na Nefi alipaswa kujenga mashua. Hakuwahi kujenga mashua awali. Kaka zake hawakuamini angeweza kufanya hivyo. Nefi alimtegemea Mungu kwa ajili ya maelekezo.

Nefi aliwaambia kaka zake, “ikiwa [Mungu] … amefanya miujiza mingi miongoni mwa watoto wa watu, je, kwa nini hawezi kunishauri, kwamba nijenge merikebu?” (1 Nefi 17:51).

Kwa msaada wa Mungu, Nefi na familia yake walijenga merikebu na kufanya safari iliyo ngumu ya kuvuka bahari. Kama tu vile Mungu alivyomsaidia Nefi, Mungu anataka kukusaidia wewe. Unaweza kusali kwa ajili ya maelekezo. Unaweza kusali ili kuelewa na kukumbuka kitu unachojifunza. Unaposali, kuwa msikivu kwa ajili ya mawazo na hisia ambazo zitakuja. Kisha tenda kwa imani. Unaweza kufanya zaidi kwa msaada Wake kuliko bila msaada huo.

msichana akisali

Ponder

  • Je, safari yako ya kujifunza Kiingereza inafananaje na hadithi ya Nefi kujenga merikebu?

  • Unapojifunza Kiingereza, unaweza kumuomba Mungu kitu gani ili akusaidie?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutumia maneno hayo katika maisha yako. Fikiria kuhusu lini na wapi ungetumia maneno haya.

job

kazi

Nouns 1

factory

kiwanda

hospital

hospitali

office

ofisi

restaurant

mgahawa

school

shule

store

duka

Nouns 2

accountant

mhasibu

artist

msanii

cashier

keshia

computer programmer

mtengeneza programu za kompyuta

cook

mpishi

custodian

mtunzaji

doctor

daktari

electrician

fundi umeme

factory worker

mfanyakazi wa kiwandani

farmer

mkulima

lawyer

mwanasheria

mechanic

fundi mitambo

nurse

nesi

office worker

mfanyakazi wa ofisini

salesperson

mtu wwa mauzo

server

mhudumu

teacher

mwalimu

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: Where do you work?A: I work at a (noun 1).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe unafanya kazi wapi

Answers

jibu la mpangilio 1 mimi hufanya kazi nomino ya 1

Examples

mfanyakazi wa hospitali anamsukuma mgonjwa katika kitimwendo

Q: Where do you work?A: I work at a hospital.

mwanamke mfanyakazi akitabasamu kwenye dawati

Q: Where does she work?A: She works at an office.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kusema mipangilio kwa sauti. Fikiria kujirekodi mwenyewe. Zingatia matamshi yako na ufasaha wake.

Q: What’s your job?A: I’m a (noun 2).

Questions

swali la mpangilio wa 2 kazi yako ni ipi

Answers

jibu la mpangilio wa 2 mimi ni nomino ya 2

Examples

Q: What’s your job?A: I’m a nurse.

mwanaume fundi umeme akifanya kazi

Q: What’s his job?A: He’s an electrician.

mwanamke anachora picha ya rangi

Q: What’s her job?A: She’s an artist.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 1.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi.” Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: You Are a Child of God

(20–30 minutes)

msichana akisali

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kazi ya kila mtu. Chukueni zamu.

Example: Carlos

mwanaume akiwafundisha wanafunzi vijana
  • A: Where does Carlos work?

  • B: He works at a school.

  • A: What’s his job?

  • B: He’s a teacher.

Image 1: Sofia

daktari anaongea na mgonjwa

Image 2: Jean

mwanamume na mafahali kondeni

Image 3: Clara

keshia katika duka la mavazi

Image 4: Frederick

mwanaume fundi mitambo

Image 5: Hana

mwanamke akimuuzia mteja nguo

Image 6: Lee

mvulana akifanya kazi kwenye kompyuta

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Uliza na ujibu maswali kuhusu kazi yako na mahali unapofanya kazi. Chukueni zamu. Badilishaneni wenza na mfanye mazoezi tena.

New Vocabulary

home

nyumbani

student

mwanafunzi

university

chuo kikuu

Example

608f005928a611eda27ceeeeac1ec11ee6af55d2
  • A: What’s your job?

  • B: I’m an electrician.

  • A: Where do you work?

  • B: I work at factory.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Say where I work.

    Sema mahali unapofanya kazi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Say what my job is.

    Sema kazi yangu ni ipi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask and say where someone works.

    Uliza na useme mahali mtu anapofanyia kazi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask and say what someone’s job is.

    Uliza na useme kazi ya mtu ni ipi.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri msamiati.

  3. Kufanyia mazoezi mpangilio.

  4. Kufanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Bwana anakujua na anakupenda. … Yeye atakuongoza na kukuelekeza wewe katika maisha yako binafsi ikiwa utatenga muda kwa ajili Yake katika maisha yako—kila siku” (Russell M. Nelson, “Tenga Muda kwa ajili ya Bwana,” Liahona, Nov. 2021, 121).