Muziki wa Vijana
Naweza Yote


1

Naweza Yote

1. Niwapo bondeni,

Kila dhoruba,

Mwokozi yu nami

Kila mara.

Huniongoza

Njia zote,

Nguvu ikiisha,

Huiponya roho

Kunipa na uwezo.

Naye yupo,

Najua

[Chorus]

Naweza yote.

Majini nikimezwa,

Nitamwomba neema

Aninusuru.

Naweza yote

Nikiwa na Mwokozi.

Nitapanda zaidi,

Nipate nguvu.

Nitaweza na Kristo.

Nitaweza na Kristo.

2. Upana wa jangwa

Nitaupita.

Niwapo na njaa

Waongo waja,

Nitasihi mbingu

Pepo zikome.

Mwokozi kiongozi, Najua

[Chorus]

Naweza yote.

Majini nikimezwa,

Nitamwomba neema

Aninusuru.

Naweza yote

Nikiwa na Mwokozi.

Nitapanda zaidi,

Nipate nguvu.

Nitaweza na Kristo.

Nitaweza na Kristo.

3. Niwapo kifungoni, huzikata pingu.

Nitapokufa atakiondoa kifo.

Ataniongoza woga ukinijia,

Namwamini.

[Chorus]

Nitaweza yote.

Majini nikimezwa,

Nitamwomba neema

Aninusuru.

Naweza yote

Nikiwa na Mwokozi.

Nitapanda zaidi,

Nipate nguvu.

Nitaweza na Kristo.

Nitaweza na Kristo.

Nitaweza na Kristo.

Words and music by Nik Day

Arranged by Mitch Davis and Nik Day

Produced by Mitch Davis

© 2022 by Intellectual Reserve, Inc. All rights reserved. 

Wimbo huu ni kwa matumizi ya kawaida ya kanisa, yasiyo ya kibiashara, au matumizi ya nyumbani.

Notisi hii lazima ionekane kwenye kila nakala iliyotolewa.

Chapisha