Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo | |
---|---|
Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo (Kwa sababu ya ugumu katika kujua tarehe halisi ya matukio katika sehemu hii, tarehe hazikutolewa.) | |
Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo K.K. (au K.K.K.—Kabla ya Kuzaliwa kwa Kristo) | |
Matukio katika siku za Mapatriaki wa Mwanzo 4000 |
Adamu alianguka. |
Henoko alihudumu. | |
Nuhu alihudumu; gharika ikaja duniani. | |
Mnara wa Babeli ulijengwa; Wayaredi walisafiri kwenda Nchi ya Ahadi. | |
Melkizedeki alihudumu. | |
Nuhu alikufa. | |
Abramu (Ibrahimu) alizaliwa. | |
Isaka alizaliwa. | |
Yakobo alizaliwa. | |
Yusufu alizaliwa. | |
Yusufu aliuzwa Misri. | |
Yusufu atokea mbele ya Farao. | |
Yakobo (Israeli) na familia yake waliteremka kwenda Misri. | |
Yakobo (Israeli) alikufa. | |
Yusufu alikufa. | |
Musa alizaliwa. | |
Musa aliwaongoza wana wa Israeli kutoka Misri (ndiyo Kutoka). | |
Musa alihamishwa. | |
Yoshua alikufa. | |
Baada ya kufa Musa, kipindi cha waamuzi kikaanza, mwamuzi wa kwanza akiwa Othinieli na wa mwisho ni Samweli; mpangalio na tarehe za waliosalia hazifahamiki kwa uhakika. | |
Sauli alipakwa mafuta kuwa mfalme. |
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli | |
---|---|
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli 1095 |
Kuanza kwa utawala wa Sauli. |
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli 1063 |
Daudi alipakwa mafuta na Samweli kuwa mfalme. |
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli 1055 |
Daudi akawa mfalme katika Hebroni. |
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli 1047 |
Daudi akawa mfalme katika Yerusalemu; Nathani na Gadi walitoa unabii. |
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli 1015 |
Suleimani akawa mfalme wa Israeli yote. |
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli 991 |
Hekalu lilimalizika kujengwa. |
Matukio ya Muungano wa Ufalme wa Israeli 975 |
Suleimani alikufa; makabila kumi ya kaskazini yaliasi dhidi ya Rehoboamu, mwanawe, na Israeli ikagawanyika. |
Matukio ya Israeli |
Matukio ya Yuda |
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni | |||
---|---|---|---|---|---|
Matukio ya Israeli 975 | Matukio ya Yuda Yeroboamu alikuwa mfalme wa Israeli. | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 949 |
Shishaki, mfalme wa Misri, aliiteka Yerusalemu. | ||||
Matukio ya Israeli 875 | Matukio ya Yuda Ahabu alitawala katika Samaria juu ya Israeli ya kaskazini; Eliya alitoa unabii. | ||||
Matukio ya Israeli 851 | Matukio ya Yuda Elisha alifanya miujiza mikubwa. | ||||
Matukio ya Israeli 792 | Matukio ya Yuda Amosi alitoa unabii. | ||||
Matukio ya Israeli 790 | Matukio ya Yuda Yona na Hosea walitoa unabii. | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 740 |
Isaya alianza kutoa unabii. (Rumi inaanzishwa; Nabonasari alikuwa mfalme wa Babilonia katika mwaka 747; Tiglathi-pilesa Ⅲ alikuwa mfalme wa Ashuru tangu mwaka 747 hadi 734.) | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 728 |
Hezekia alikuwa mfalme wa Yuda. (Shalmanasa Ⅳ alikuwa mfalme wa Ashuru.) | ||||
Matukio ya Israeli 721 | Matukio ya Yuda Ule Ufalme wa Kaskazini uliangamizwa; yale makabila kumi yalichukuliwa utumwani; Mika alitoa unabii. | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 642 |
Nahumu alitoa unabii. | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 628 |
Yeremia na Zefania walitoa unabii. | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 609 |
Obadia alitoa unabii; Danieli alichukuliwa mateka utumwani Babiloni. (Ninawi ilianguka katika mwaka 606; Nebukadneza alikuwa mfalme wa Babilonia tangu mwaka 604 hadi 561.) | ||||
600 |
Lehi aliondoka Yerusalemu. | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 598 |
Ezekieli alitoa unabii katika Babiloni; Habakuki alitoa unabii; Zedekia alikuwa mfalme wa Yuda. | ||||
588 |
Muleki aliondoka kutoka Yerusalemu kwenda nchi ya ahadi. | ||||
588 |
Wanefi walijitenga wao wenyewe na Walamani (kati ya mwaka 588 na 570). | ||||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni 587 |
Nebukadneza aliiteka Yerusalemu. |
Matukio katika Historia ya Uyahudi |
Matukio katika Kitabu cha Mormoni | ||
---|---|---|---|
Matukio katika Historia ya Uyahudi 537 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Koreshi alitangaza kuwa Wayahudi wanaweza kurudi kwao kutoka Babeli. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 520 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Hagai na Zekaria walitoa unabii. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 486 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Esta aliishi. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 458 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Ezra alipewa mamlaka ya kufanya mageuzi. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 444 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Nehemia aliteuliwa kuwa gavana wa Yuda. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 432 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Malaki alitoa unabii. | ||
400 |
Yaromu alipokea mabamba. | ||
360 |
Omni alipokea mabamba. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 332 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Iskanda Mkuu aliishinda Shamu na Misri. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 323 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Iskanda alikufa. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 277 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Septaginta, tafsiri ya maandiko ya Kiyahudi katika Kiyunani, ilianza. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 167 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Mathalia Mmkabayo aliasi dhidi ya Shamu. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 166 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Yuda Makabayo akawa kiongozi wa Wayahudi. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 165 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Hekalu lilisafishwa na kuwekwa wakfu upya; Hanuka ikaanza. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 161 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Yuda Makabayo alikufa. | ||
148 |
Abinadi aliuawa kwa kifo cha kishahidi; Alma alilianzisha tena Kanisa miongoni mwa Wanefi. | ||
124 |
Benjamini alitoa hotuba yake ya mwisho kwa Wanefi. | ||
100 |
Alma Mtoto na wana wa Mosia walianza kazi yao. | ||
91 |
Utawala wa waamuzi ulianza miongoni mwa Wanefi. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 63 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Pompi aliishinda Yerusalemu, utawala wa Makabayo ukaisha katika Israeli, na utawala wa Warumi ukaanza. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 51 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Cleopatra alitawala. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 41 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Herodi na Fasaeli kwa pamoja walifanywa maliwali wa Yuda. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 37 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Herodi akawa kiongozi katika Yerusalemu. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 31 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Vita vya Aktio vilipiganwa; Augusto alikuwa mfalme mkuu wa Rumi kutoka mwaka wa 31 K.K. hadi mwaka wa 14 B.K. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 30 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Cleopatra alikufa. | ||
Matukio katika Historia ya Uyahudi 17 | Matukio katika Kitabu cha Mormoni Herode alirejesha hekalu. | ||
6 |
Samweli Mlamani alitoa unabii juu ya kuzaliwa kwa Kristo. |
Matukio katika Historia ya Ukristo |
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni | ||
---|---|---|---|
Matukio katika Historia ya Ukristo B.K. | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni B.K. | ||
Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Kuzaliwa kwa Yesu Kristo. | |||
Matukio katika Historia ya Ukristo 30 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Huduma ya Kristo ilianza. | ||
Matukio katika Historia ya Ukristo 33 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Kristo alisulubiwa. |
33 au 34 |
Kristo mfufuka alionekana katika Marekani. |
Matukio katika Historia ya Ukristo 35 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Paulo aliongolewa. | ||
Matukio katika Historia ya Ukristo 45 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Paulo alifanya safari yake ya kwanza ya kimisionari. | ||
Matukio katika Historia ya Ukristo 58 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Paulo alipelekwa Rumi. | ||
Matukio katika Historia ya Ukristo 61 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Historia ya Matendo ya Mitume ilifungwa. | ||
Matukio katika Historia ya Ukristo 62 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Rumi ilichomwa moto; Wakristo waliteswa chini ya Niro. | ||
Matukio katika Historia ya Ukristo 70 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Wakristo walikimbilia Pela; Yerusalemu ilizingirwa na kukamatwa. | ||
Matukio katika Historia ya Ukristo 95 | Matukio katika Historia ya Kitabu cha Mormoni Wakristo waliteswa na Domitia. | ||
385 |
Taifa la Wanefi liliangamizwa. | ||
421 |
Moroni alificha mabamba. |