Yesu Kristo
Kubariki Maji


Kubariki Maji

Ee Mungu, Baba wa Milele,
tunakuomba katika jina la Mwanao, Yesu Kristo,
ubariki na utakase maji haya
kwa roho za wale wote watakaoyanywa,
ili waweze kufanya hivi kwa ukumbusho wa damu ya Mwanao,
ambayo ilimwagwa kwa ajili yao;
kwamba washuhudie kwako, Ee Mungu, Baba wa Milele,
kwamba daima wamkumbuke,
ili Roho wake apate kuwa pamoja nao.
Amina.

Chapisha