Kujifunza Kiingereza
Shughuli ya 2: Tengeneza Sentensi Zako Mwenyewe


Shughuli ya 2: Tengeneza Sentensi Zako Mwenyewe

Shughuli ya 2, wanafunzi wanafanyia mazoezi maswali na majibu wakiwa na wenzao. Ruhusu mabadilishano kwa ajili ya mazoezi tofauti tofauti. Jifunze kuwaunga mkono na kuwainua wanafunzi wakati wanapotengeneza sentensi mbalimbali kwa Kiingereza.

Chapisha