Oktoba 2020 Wiki ya 4 Jason B. WhitingMioyo Iliyochomwa na Majeraha ya Kina: Kuelewa Unyanyasaji katika FamiliaProfesa wa BYU anaelezea mifumo ya unyanyasaji ndani ya familia. Mitume Hushiriki Jumbe za TumainiWashiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili hushiriki umaizi kuhusu kukaa karibu na Mungu na kuwahudumia wengine wakati wa janga kubwa. Wiki ya 2 Onnastasia ColeKumsaidia Mama yangu kwenye safari yake ya kushinda UraibuKijana mkubwa anashiriki uzoefu wake wa kusaidia kumuunga mkono mama yake katika safari yake ya kushinda uraibu. Nanon TalleyKutambua Unyanyasaji wa KihisiaMifano na dalili za unyanyasaji wa kihisia. Marissa WiddisonNjia Zaidi ya Moja za Kujifunza MaandikoMawazo ya haraka, mawazo ya kufurahisha ya kujifunza maandiko Wiki ya 1 Unaweza Kupata Uhuru Richard OstlerVidokezo 7 vya Kushinda Matumizi ya PonografiaAskofu wa zamani wa kata ya vijana wakubwa waseja anashiriki vidokezo juu ya kushinda utumiaji usioweza kuthibitika wa ponografia. Destiny YarbroJe, Kutawaliwa na Mazoea Mabaya ni Sawa Sawa na Uasi?Kijana mkubwa wa kike anaelezea mtazamo wake juu ya kwa nini kutawaliwa na mazoea mabaya siyo sawa sawa na uasi na jinsi gani kutawaliwa na mazoea mabaya kunaweza kusaidia kulainisha mioyo yetu.