Aprili 2013 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Thomas S. MonsonKaribuni kwenye Mkutano MkuuNawahimiza ninyi muwe na wasikivu na wenye kupokea jumbe ambazo sisi tutasikia. Kwamba tuweze kufanya hivyo ni maombi yangu. Boyd K. PackerMambo Haya NinajuaKwa yale yote nimesoma na kufundisha na kujifunza, moja ya thamani kubwa na ukweli mtakatifu ambao ninatoa ni ushuhuda wangu wa kipekee wa Mwokozi Yesu Kristo. Dean M. DaviesMsingi ThabitiHebu tukubali mwaliko wa Mwokozi kumjia. Hebu tujenge maisha yetu juu ya msingi salama na thabiti. Elaine S. DaltonSisi ni mabinti wa Baba yetu wa MbinguniKama mabinti wa Mungu, kila mmoja wetu ni wakipekee na tofauti katika hali zetu na uzoefu. Na bado sehemu yetu inajalisha---kwa sababu tunafaa.