2013
Kuwa Mwanzilishi
Julai 2013


Watoto

Kuwa Mwanzilishi

Rais Monson anasema kuwa mwaanzilishi ni mtu ambaye anaonyesha njia kwa wengine kufuata. Unaweza kufanya nini ili kusimama kwa ajili ya kile ambacho ni cha haki na kuwa mwanzilishi kwa wengine katika jamii yako na katika familia yako? Andika majibu yako na uyashiriki pamoja na familia yako.

Chapisha