2014
Mafundisho ya Wakati Wetu
May 2014


Mafundisho ya Wakati Wetu

Kuanzia Mei 2014 hadi Oktoba 2014, masomo ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina mama katika Jumapili ya nne lazima yaandaliwe toka kwenye moja ya maongezi yaliyotolewa kwenye mkutano mkuu wa Aprili 2014. Mwezi Oktoba 2014, maongezi yanaweza kuchukuliwa toka kwenye mkutano mkuu wa Aprili 2014 au Oktoba 2014. Marais wa wilaya na vigingi lazima wachague ni maongezi gani yatatumika kwenye maeneo yao, au wanaweza kutoa majukumu kwa maaskofu au maraisi wa tawi.

Hotuba zinapatikana kwa lugha nyingi katika conference.lds.org.

Chapisha