2017
Hazina ya Kweli
Februari 2017


Watoto

Hazina ya Kweli

Rais Monson anasimulia hadithi kuhusu mama aliyekuwa na kijisanduku maalum cha hazina. Wakati watoto walipofungua kijisanduku, walikuta picha zao. Hazina ya mama yule ilikuwa familia yake!

Hazina ya kweli sio dhahabu au johari—ni wale uwapendao. Unampenda Nani? Chora kijisanduku cha hazina na picha zao au majina yao ndani ya kijisanduku.

Chapisha