2017
Mafundisho ya Wakati Wetu
May 2017


Mafundisho ya Wakati Wetu

Kuanzia Mei 2017 hadi Oktoba 2017, masomo ya Ukuhani wa Melkizedeki na Muungano wa Usaidizi wa Kina Mama katika Jumapili ya nne lazima yaandaliwe toka kwenye mojawapo ya hotuba zilizotolewa kwenye mkutano mkuu wa Aprili 2017. Mwezi Oktoba 2017, hotuba zinaweza kuchukuliwa toka kwenye mkutano mkuu wa Aprili au Oktoba. Marais wa wilaya na vigingi wanachagua ni hotuba gani zitatumika kwenye maeneo yao, au wanaweza kutoa majukumu kwa maaskofu au marais wa matawi.

Hotuba hizi zinapatikana katika lugha nyingi katika conference.lds.org.

Chapisha