2017
Tunakushukuru Ewe, Mungu, kwa ajili ya Mtume
September 2017


Vijana

Tunakushukuru Ewe, Mungu, kwa ajili ya Mtume

Ni namna gani nabii wetu, Rais Thomas S. Monson, amekushawishi? Ni kipi utakachokumbuka zaidi kumhusu? Zingatia kuandika katika shajara yako kumhusu Rais Monson na maisha yake—vile tu anavyoelezea katika ujumbe huu kuhusu ushawishi wa kila nabii ambao yeye anakumbuka.

Unaweza taka kuchagua dondoo unayoenzi mno kutoka kwake na uiandike mahala utakapoiona kila mara, kama vile kwenye daftari ya shuleni au bango katika chumba chako. Unaweza hata ukatengeneza dondoo ya picha na kuifanya usuli kwenye simu yako. Kila mara unapoiona dondoo hiyo, unaweza ukatafakari kuhusu umuhimu wa nabii aliye hai na kukumbuka kwamba yupo hapa kutupenda na kutuongoza siku ya leo.

Chapisha