Liahona
Yesu Aliwabariki Mmoja Mmoja
Oktoba 2024


“Yesu Aliwabariki Mmoja Mmoja,” Rafiki, Oktoba 2024, 26–27.

Ujumbe wa Kila Mwezi wa Rafiki, Oktoba 2024

Yesu Aliwabariki Mmoja Mmoja

Manabi wakiwafundisha Wanefi

Vielelezo na Andrew Bosley

Manabii waliwafundisha Wanefi kuhusu ishara za kifo cha Yesu Kristo. Alipokufa, kulikuwa na giza katika nchi kwa siku tatu. Baadaye, watu walisikia sauti ya Baba wa Mbinguni ikizungumza kutoka mbinguni.

Yesu Kristo akiwatembelea Wanefi.

Baba wa Mbinguni alisema, “Tazama Mwana wangu Mpendwa” (3 Nefi 11:7). Yesu aliwatokea Wanefi Yeye alifufuka! Aliwafundisha Wanefi mambo mengi. Aliwaambia watubu na wamfuate Yeye.

Yesu akimponya mgonjwa

Aliwataka watu wawaleta Kwake wale waliokuwa wagonjwa ili waponywe. Aliwabariki.

Yesu akiwabariki watoto

Pia aliwabariki watoto wote mmoja mmoja. Malaika waliwazunguka wale watoto.

Ukurasa wa Kupaka Rangi

Mwokozi Anampenda Kila Mmoja wa Watoto wa Baba wa Mbinguni.

Ukurasa wa Kupaka rangi

Kielelezo na Adam Koford

Je, unausikiaje upendo wa Mwokozi?