Kujifunza Kiingereza
Somo la 16: Chakula


“Somo la 16: Chakula,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi (2022)

“Somo la 16,” EnglishConnect 1 kwa ajili ya Wanafunzi

baba na mwana wanapika

Lesson 16

Food

Shabaha: Nitajifunza kuzungumza kuhusu milo na kwa nini mtu anapenda chakula hicho.

Personal Study

Jiandae kwa ajili ya kikundi chako cha mazungumzo kwa kukamilisha shughuli A hadi E.

ikoni a
Study the Principle of Learning: Take Responsibility

Wajibika

I have the power to choose, and I am responsible for my own learning.

Nina uwezo wa kuchagua, na ninawajibika kwa ajili ya kujifunza kwangu mwenyewe.

Yesu Kristo alishiriki hadithi kuhusu mtu tajiri ambaye alitoa fedha fulani kwa watumishi watatu. Watumishi wawili wa kwanza walitumia fedha kwa hekima na kuzalisha. Mtumishi wa tatu alikuwa na uoga. Alizificha fedha ili kwamba yeye asije akaipoteza. Mtu yule tajiri alihuzunishwa na yule mtumishi wa tatu lakini alifurahishwa na wawili wa kwanza. Aliwaambia watumishi wawili wa kwanza.

“Vema, mtumishi mwema na mwaminifu: umekuwa mwaminifu katika mambo madogo, nitakufanya kuwa mtawala juu ya mambo mengi; ingia katika furaha ya Bwana wako” (Mathayo 25:21).

Fikiria kuhusu karama ambazo Baba wa Mbinguni amekupatia. Pengine umepatiwa uwezo wa kujifunza vyema au kuwa na subira na wengine. Unaweza kuwa na imani kubwa au ujasiri wa kuzungumza. Wajibika kwa ajili ya karama hizi na uzikuze. Fikiria jinsi ya kuzitumia ili kuwasaidia wengine. Pia, unaweza kuchagua kukuza karama mpya. Unaweza kutafuta karama za kiroho kwa kutumia imani katika Mungu, ukifanyia mazoezi, na kuzitumia ili kuwasaidia wengine. Mungu atakuongoza pale unapotafuta kukuza karama zako.

Kristo anatabasamu

Ponder

  • Je, Karama zako ni zipi?

  • Ni kwa jinsi gani unaweza kutumia karama zako ili kujifunza Kiingereza?

  • Ni kwa jinsi gani karama hizi zinaweza kuwasaidia marafiki zako katika EnglishConnect?

ikoni b
Memorize Vocabulary

Jifunze maana na matamshi ya kila neno kabla ya kikundi chako cha mazungumzo. Jaribu kutengeneza kadi za kuandika ili kukusaidia kukariri maneno mapya. Unaweza kutumia karatasi au aplikesheni.

food/foods

chakula/vyakula

eat/eats

kula/hula

Nouns 1

breakfast

kifungua kinywa

lunch

chakula cha mchana

dinner

chakula cha usiku

Nouns 2

fruit

tunda

apple/apples

tufaa/matufaa

vegetables

mboga

carrot/carrots

karoti/karoti

meat

nyama

chicken

kuku

egg/eggs

yai/mayai

pork

nyama ya nguruwe

beans

maharage

bread

mkate

rice

mchele

Adjectives

bland

sio na ladha

delicious

ladha ya kupendeza

sweet

tamu

ikoni c
Practice Pattern 1

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Unaweza kubadilisha maneno yaliyopigiwa mstari na maneno katika sehemu ya “Memorize Vocabulary.”

Q: What do you eat for (noun 1)?A: I eat (noun 2) for (noun 1).

Questions

swali la mpangilio wa 1 wewe hula nini kwa ajili ya nomimo ya 1

Answers

jibu la mpangilio wa 1 mimi hula nomino ya 2 kwa nomino ya 1

Examples

baba anapika mayai ya kuvuruga

Q: What do you eat for breakfast?A: I eat eggs for breakfast.

wali na maharagwe

Q: What do they eat for dinner?A: They eat rice and beans for dinner.

Q: What does he eat for lunch?A: He eats chicken, bread, and an apple for lunch.

ikoni d
Practice Pattern 2

Fanya mazoezi ukitumia mipangilio mpaka kwa kujiamini uweze kuuliza na kujibu maswali. Jaribu kujifunza zaidi kuhusu mipangilio katika somo hili. Fikiria kutumia vitabu vya sarufi au tovuti.

Q: What food do you like?A: I like (noun 2) because it’s (adjective).

Questions

swali la mpangilio wa 2 unapenda chakula gani

Answers

jibu la mpangilio wa 2 Mimi napenda nomino ya 2 kwa sababu ni kivumishi

Examples

Mama anakata matufaa

Q: What food do you like?A: I like apples because they’re sweet.

mwanamke akipika wali

Q: What food doesn’t she like?A: She doesn’t like rice because it’s bland.

ikoni e
Use the Patterns

Andika maswali manne unayoweza kumuuliza mtu. Andika jibu la kila swali. Yasome kwa sauti.

Additional Activities

Kamilisha shughuli za somo na upimaji mtandaoni kwenye englishconnect.org/learner/resources au katika Kitabu cha Kazi cha EnglishConnect 1.

Act in Faith to Practice English Daily

Endelea kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku. Tumia “Kifuatiliaji chako cha Kujifunza Binafsi” . Pitia tena lengo lako la kujifunza na utathmini juhudi zako.

Conversation Group

Discuss the Principle of Learning: Take Responsibility

(20–30 minutes)

Kristo anatabasamu

ikoni ya 1
Activity 1: Practice the Patterns

(10–15 minutes)

Pitia tena orodha ya msamiati pamoja na mwenzako.

Fanya mazoezi ya mpangilio wa 1 na mwenzako:

  • Fanya mazoezi ya kuuliza maswali.

  • Fanya mazoezi ya kujibu maswali.

  • Fanya mazoezi ya mazungumzo ukitumia mipangilio.

Rudia mpangilio wa 2

ikoni ya 2
Activity 2: Create Your Own Sentences

(10–15 minutes)

Tazama picha. Uliza na ujibu maswali kuhusu kila mtu hula nini kama kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula ya jioni. Chukueni zamu.

New Vocabulary

filling

ya kushibisha

gross

kisichovutia

salty

enye chumvi nyingi

spicy

enye viungo vingi

cheese

jibini

fish

samaki

Example: Cary

mwanamke mwenye nywele za blondi
  • Breakfast: fruit and bread

  • Lunch: chicken and vegetables

  • Dinner: fish

  • A: What does Cary eat for breakfast?

  • B: She eats fruit and bread for breakfast.

Image 1: Tim

mwanaume akitabasamu kando ya ziwa
  • Breakfast: eggs and bread

  • Lunch: chicken

  • Dinner: meat, vegetables, and bread

Image 2: Pele

mwanaume akiwa amevaa shati lenye mistari
  • Breakfast: cheese and bread

  • Lunch: beans and rice

  • Dinner: fish, rice, and fruit

Image 3: Mari

mwanamke anatabasamu
  • Breakfast: vegetables and rice

  • Lunch: pork, vegetables, and rice

  • Dinner: eggs, vegetables, and rice

ikoni ya 3
Activity 3: Create Your Own Conversations

(15–20 minutes)

Part 1

Uliza na ujibu maswali kuhusu wewe na familia yako mnakula nini kama kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni. Chukueni zamu.

Example
wali na maharage
  • A: What do you eat for lunch?

  • B: I eat rice and beans for lunch.

Part 2

Uliza na ujibu maswali kuhusu ni chakula gani wewe na familia yako mnapenda au hamkipendi. Sema kwa nini. Chukueni zamu.

Example
  • A: What food do you like?

  • B: I like carrots because they’re sweet. I like bread because it’s delicious.

  • A: What food don’t you like?

  • B: I don’t like cheese because it’s gross. I don’t like fish because it’s salty.

  • A: What food does your sister like?

  • B: She likes rice because it’s filling.

Evaluate

(5–10 minutes)

Tathmini maendeleo yako juu ya shabaha na juhudi zako za kufanyia mazoezi Kiingereza kila siku.

Evaluate Your Progress

I can:

  • Name foods for breakfast, lunch, and dinner.

    Taja vyakula vya kifungua kinywa, chakula cha mchana na chakula cha jioni.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Talk about why I like or dislike certain foods.

    Zungumza kuhusu kwa nini mimi napenda au sipendi vyakula fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha
  • Ask why others like or dislike certain foods.

    Waulize wengine kwa nini wanapenda au hawapendi vyakula fulani.

    uso wa kawaida, uso wa kuridhika, uso wa furaha

Evaluate Your Efforts

Tathmini juhudi zako za:

  1. Kusoma kanuni ya kujifunza.

  2. Kukariri msamiati.

  3. Fanyia mazoezi mpangilio.

  4. Fanya mazoezi kila siku.

Weka lengo. Fikiria mapendekezo ya kujifunza katika “Kifuatiliaji cha Kujifunza Binafsi.”

Shiriki lengo lako na mwenzako.

Act in Faith to Practice English Daily

“Mungu ametupatia kila mmoja wetu talanta maalumu moja au zaidi. … Ni jukumu la kila mmoja wetu kutafuta na kuendeleza karama ambazo Mungu ametupatia. Ni lazima sisi tukumbuke kwamba kila mmoja wetu ameumbwa katika sura ya Mungu, kwamba hakuna watu wasio na umuhimu. Kila mmoja ni muhimu kwa Mungu na watu wenzake (“There Are Many Gifts.Ensign, Nov. 1987, 20).