Msingi
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Mshauri katika Urais wa Darasa la Watoto

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili kukusaidia katika wito wako.

Maelekezo kwa Ajili ya Muda wa Kuimba na Mawasilisho ya Watoto kwenye Mkutano wa Sakramenti.Maelekezo kwa ajili ya muda wa kuimba na kuwaandaa watoto kwa ajili ya uwasilisho kwenye mkutano wa sakramenti.

Mawazo kwa ajili ya Mazingira Mbalimbali ya Ufundishaji na Wanafunzi Mbalimbali.Mawazo kwa ajili ya kuwafundisha watoto kutoka kwenye Kufundisha katika Njia ya Mwokozi: Kwa Ajili ya Wote Wanaofundisha Nyumbani na Kanisani (2022), 30–35.

Chapisha