Wasichana
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito wangu kama Mshauri katika Urais wa Wasichana

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili kukusaidia katika wito wako.

Young Women Worldwide (@youngwomenworldwide) • Instagram photos and videos.Nyenzo kwa ajili ya wasichana, viongozi na wazazi

Njoo, Unifuate—Kwa ajili ya Nyumbani na Kanisani,Maktaba ya Injili.Mtaala wa Jumapili kwa ajili ya wasichana.

Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana: Mwongozo wa Kufanya Chaguzi (2022), Maktaba ya Injili.Mwongozo ambao huwaongoza vijana kwa Mwokozi na huwafundisha namna ya kufanya chaguzi njema kulingana na kweli za milele za injili Yake ya urejesho.

Misaada kwa ajili ya Urais, Maktaba ya Injili.Misaada kwa ajili ya urais wa madarasa kwenye kutimiza miito yao.

Young Women, ChurchofJesusChrist.org.Programu, nyenzo, na taarifa

Chapisha