Msingi
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito wangu kama Katibu wa Watoto

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili kukusaidia katika wito wako.

Maelekezo kwa ajili ya Muda wa Kuimba na Mawasilisho ya Watoto katika Mkutano wa Sakramenti.Maelekezo kwa ajili ya kuongoza muda wa kuimba na kujitayarisha kwa ajili ya mawasilisho ya watoto kwenye mkutano wa sakramenti.

Mapendekezo kwa ajili ya Mipangilio Anuwai ya Kufundishia na Wanafunzi.Mawazo kwa ajili ya kufundishia watoto katika Kufundisha katika Njia ya Mwokozi: Kwa Wote Wanaofundisha Nyumbani na Kanisani (2022), 30–35.

Chapisha