Music
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Mratibu wa Muziki katika Kigingi

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Maktaba ya Muziki wa Kanisa.Mkusanyiko kamili wa muziki wa Kanisa kuimbwa katika mkusanyiko, kwaya, mtu mmoja mmoja, na ala tupu.

Kozi ya Msingi ya Kuendesha Muziki.Jifunze jinsi ya kuendesha muziki.

Kozi ya Msingi ya Kupiga Muziki kwa Kinanda.Jifunze kuambatana na nyimbo za dini zenye sehemu-nne kwenye kinanda.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Dini.Maagizo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa kwenye kitabu cha nyimbo za dini.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Watoto.Maelekezo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika Kitabu cha Nyimbo za Watoto.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara.Majibu ya maswali ya kawaida yanayohusiana na muziki kanisani.

Chapisha