Shule ya Jumapili
Kujiandaa Kuanza


Picha
kusanyiko la kanisa wakiinua mikono juu

Kujiandaa Kuanza

“Yote anayoomba ni kwamba utoe juhudi zako bora na moyo wako wote. Fanya hivyo kwa furaha na kwa sala ya imani.” —Rais Henry B. Eyring1

Tunakualika uanze wito wako mpya kwa msaada wote na ushawishi wote uliopewa na Bwana. Hili linaweza kufanyika kwa kukubali mialiko miwili ifuatayo ya kutenda.

Kwanza, sali. Sali kwa ajili ya wale unaowaongoza. Sali kwa ajili ya wale unaowahudumia. Sali kwa ajili ya fursa, uelewa, na baraka mara kwa mara. Mtegemee Bwana kwa dhati na Atakubariki katika wito wako.

Pili, ukubaliwe na usimikwe kwenye wito wako mpya. Hatua hii muhimu inakupa mamlaka ya ukuhani ya kutenda katika wito wako. Kupitia mamlaka haya, unaweza kupokea baraka na msukumo unaoongozwa na Roho kwa ajili ya wale unaowaongoza na kuwahudumia.

Endelea kwenye sehemu ya Majukumu kwa ajili ya muhtasari wa wito wako.

  1. Rise to Your Call,” Ensign, Nov. 2002, 78.

Chapisha