Music
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Mpiga Ala Saidizi katika Kata

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Maktaba ya Muziki wa Kanisa.Mkusanyiko kamili wa muziki wa Kanisa kwa ajili ya mkusanyiko, kwaya, mtu mmoja mmoja na muziki wa ala.

Mpiga Kinanda Mpya katika Kata—Nyenzo za Mafunzo.Mafunzo kwa ajili ya mpiga ala na nyimbo za dini kwenye kinanda.

Mabadiliko ya Kinanda kwa Nyimbo za Dini.Marekebisho yaliyorahisishwa ya nyimbo za dini kwa ajili ya muziki wa ala pekee wa kabla na baada ya mkutano.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Dini.Maelekezo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika kitabu cha nyimbo za dini.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Watoto.Maelekezo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika Kitabu cha Nyimbo za Watoto.

Chapisha