Music
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Mpiga Muziki wa Kwaya katika Kata

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Maktaba ya Muziki ya Kanisa.Mkusanyiko kamili wa muziki wa Kanisa wa mkusanyiko wa watu, kwaya, mtu mmoja mmoja na muziki wa ala.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Dini.Maelekezo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika kitabu cha nyimbo za dini.

Kozi ya Msingi ya Kinanda.Panda kutoka mpiga kinanda mchanga hadi kwenye kupiga nyimbo za dini zenye sehemu nne kwenye kinanda au ogani.

Chapisha