Music
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Mratibu wa Muziki kwenye Kata

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelekezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili kukusaidia kwenye wito wako.

Maktaba ya Muziki wa Kanisa.Mkusanyiko kamili wa muziki wa Kanisa kwa ajili ya mikusanyiko, kwaya, mtu binafsi na ala za muziki.

Kozi ya Awali ya Kuongoza Muziki.Jifunze kuongoza muziki.

Kozi ya Awali ya Kinanda.Jifunze namna ya kupiga nyimbo zenye sehemu nne kwenye kinanda.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Dini.Maelekezo ya namna ya kutumia nyenzo yamejumuishwa kwenye kitabu cha nyimbo za dini.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Watoto.Maelekezo ya namna ya kutumia nyenzo yamejumuishwa kwenye kitabu cha nyimbo za Watoto.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara.Majibu ya maswali ya kawaida yanayohusiana na muziki kanisani.

Chapisha