Music
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito Wangu kama Kiongozi wa Muziki katika Kata

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Maktaba ya Muziki ya Kanisa.Mkusanyiko kamili wa Kanisa wa muziki wa mkusanyiko, kwaya, mtu mmoja mmoja, na muziki wa ala.

Kozi ya Msingi ya Kuongoza Muziki.Jifunze kuongoza muziki.

“Kutumiakutumia Kitabu cha Nyimbo za Dini.Maelekezo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika kitabu cha nyimbo za dini.

Kutumia Kitabu cha Nyimbo za Watoto.Maelekezo ya kutumia nyenzo zilizojumuishwa katika Kitabu cha Nyimbo za Watoto.

Chapisha