Wasichana
Nyenzo za Ziada


Picha
mikono iliyokunjwa ikiwa juu ya maandiko

Wito wangu kama Rais wa Wasichana

Nyenzo za Ziada

Kama nyongeza kwenye Kitabu cha Maelezo ya Jumla, tafadhali zingatia nyenzo hizi za ziada ili zikusaidie katika wito wako.

Young Women Worldwide (@youngwomenworldwide) • Instagram photos and videos.Nyenzo kwa ajili ya wasichana, viongozi, na wazazi.

Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Nyumbani na Kanisani, Maktaba ya Injili.Mtaala wa Jumapili kwa ajili ya Wasichana.

Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana: Mwongozo wa Kufanya Chaguzi (2022), Maktaba ya Injili.Mwongozo unaowaelekeza vijana kwa Mwokozi na kuwafundisha jinsi gani ya kufanya chaguzi za haki kulingana na kweli za milele za injili iliyorejeshwa.

Misaada kwa ajili ya Urais, Maktaba ya Injili.Misaada kwa ajili ya urais wa madarasa katika kutimiza miito yao.

Young Women, ChurchofJesusChrist.org.Programu, nyenzo na taarifa.

Chapisha