Maendeleo Binafsi: Kitabu cha Mwongozo kwa Vijana Wewe Una Lengo Wewe ni Mtoto wa Thamani wa MunguBaba wa Mbinguni na Yesu Kristo wanakutaka uwe kama Wao! Unaweza Kumfuata MwokoziBaba wa Mbinguni alimtuma Mwana Wake, Yesu Kristo, kuwa mfano kamili kwa ajili yetu sisi sote katika kila njia. Mpangilio wa Kukua Anza!Jaribu kutumia mpangilio wa Gundua, Panga, Tenda, na Tafakari ili kukusaidia kufuata mfano wa Mwokozi pale unapokua. Misukumo na MawazoAndika hisia na mawazo yako hapa. Mambo ya KukumbukaUnaweza kuweka hapa kumbukumbu ya vitu ambavyo ungependa kukumbuka. Mawazo kwa ajili ya Kukua katika nyanja Zote za Maisha NyenzoTumia nyenzo hizi kujifunza zaidi kuhusu maendeleo yako binafsi.