Kujifunza Kiingereza
Ukuaji


Ukuaji

EnglishConnect siyo tu kuhusu kujifunza Kiingereza; ni kuhusu kukuza uwezo wetu wa kujifunza na kufundisha. Kwa imani, tunajituma, tukiungana na Mungu kufikia malengo yetu, kwa kujifunza na kufanya mazoezi kila siku (M&M 88:118).

Chapisha