Zungumza Kiingereza
![](https://www.churchofjesuschrist.org/imgs/https%3A%2F%2Fassets.churchofjesuschrist.org%2F65%2F94%2F6594baaf6a1b5412f2a2aae79c55c44dba6f0a7f%2F6594baaf6a1b5412f2a2aae79c55c44dba6f0a7f.jpeg/full/!250,/0/default)
Maendeleo kwenye EnglishConnect huja kupitia kuzungumza Kiingereza. Wahimize wanafunzi wazungumze, kwa kutumia lugha rahisi na kurudia kadiri inavyohitajika. Toa muda kwa ajili ya majibu mazuri, yanayorejelea maelekezo yaliyotafsiriwa.