Kuwaimarisha Waumini Wapya
Kufanya Kazi kwa Pamoja


Kufanya Kazi kwa Pamoja

Ni vigumu kwa wengi kujiunga kwenye kata mpya - kwa baadhi inaogopesha. Kata moja inashiriki juhudi zao madhubuti za kuwakaribisha watoto kwa wakubwa kwa nyuso za furaha na mioyo kunjufu.

Chapisha