Kuwaimarisha Waumini Wapya
Watoto Wakishiriki Injili


Watoto Wakishiriki Injili

Watoto wanakuwa wamisionari hodari kwa sababu ni wadhati, kama vile Coen na Genna. Urafiki wao wa kujali uliwaandaa Isaya na dada yake Alessia kwa ajili ya ubatizo kwa kuwasaidia kuhisi kupendwa.

Chapisha