2010
Kusogea Karibu na Bwana
Januari 2010


Kwa Watoto

Kusogea Karibu na Bwana

Katika Kirtland, Ohio, Nabii Joseph Smith alipokea ufunuo. Bwana alimwambia, “Sogeeni karibu nami na Mimi nitasogea karibu na nyinyi; nitafuteni kwa bidii nanyi mtanipata” (M&M 88:63). Njia moja ambayo tunaweza kusogea karibu na Bwana ni kwa kufuata Nabii Wake.

Chora picha ya vitu ambavyo Rais Thomas S. Monson ametuuliza kufanya:

Omba.

Kuwa Mkarimu.

Jitahidi sana ili kujifunza.

Saidia Wengine.

Shirikisha ushuhuda wako.

Soma maandiko.

Chapisha