Kwa Vijana
Kuimarisha Ushuhuda Wako
Fanya zoezi la ukaguzi wa kibinafsi ili kukusaidia kufikiria kuhusu jinsi unavyoendelea katika kuimarisha ushuhuda wako:
-
Je, natamani kuamini?
-
Je, Mimi hufunga na kuomba nikupate ushuhuda wenye nguvu?
-
Je, Mimi husoma na kutafakari maandiko kila siku?
-
Je, Mimi hujaribu kutii amri kila siku?
-
Je, Mimi hujaribu kufuata ushawishi kutoka kwa Roho Mtakatifu?
-
Je, Mimi hutoa ushuhuda wangu wakati nimeshawishika kufanya hivyo?